Main Title

source : abna.ir
Jumanne

8 Desemba 2015

21:50:53
723788

Picha za waislamu wa dhehebu la Shia wa Pakistan wakiomboleza na kuadhimisha arobaini ya Imam Husein

Hizi ni Picha za waislamu wa dhehebu la Shia wa mji wa Islamabad nchini Pakistan wakiomboleza na kuadhimisha arobaini ya mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w Imam Husein ambaye aliuawa kikatili na majeshi ya Yazid bin Muawiyah mnamo mwaka 61 Hijiria sawa na mwaka 680, tukio hili lilitokea katika mji wa Karbalaa Iraq.