Main Title

source : abna.ir
Jumanne

8 Desemba 2015

21:59:51
723789

Picha za waislamu wa dhehebu la Shia wa Zambia wakiomboleza arobaini ya Imam Husein kwa kuchangia Damu

Hizi ni Picha za waislamu wa dhehebu la Shia wa Lusaka nchini Zambia wakiomboleza na kuadhimisha arobaini ya Husein a.s mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w kwa kuchangia Damu, Imam Husein ambaye aliuawa kikatili na majeshi ya Yazid bin Muawiyah mnamo mwaka 61 Hijiria sawa na mwaka 680, tukio hili lilitokea katika mji wa Karbalaa Iraq.