source : abna.ir
Jumatano
9 Desemba 2015
17:54:34
723929
Habari MuhimuHabari za AfrikaPichaMourining of Imam Hosseinasura mystery of creationNews of Arba'een
Picha za Mashia wa Ghana wakidhimisha arobaini ya Imam Husein a.s
Hizi ni picha za waumini wa kiislamu wa dhehebu la Shia katika mji wa Accra nchini Ghana wakiomboleza arobaini ya Husein mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w aliyeuawa kitatili na Yazidi bin Muawiya mnamo mwaka wa 680.