Main Title

source : abna.ir
Jumatano

16 Desemba 2015

14:26:15
725262

Video ya Mauaji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu

Jeshi la Nigeria limevamia makazi ya kiongozi wa waislamu wa dhehebu la shia na kuua mamia ya watu katika mji wa Kaduna Jeshi la Nigeria badala ya kuwalinda waumini hawa, limechukua jukumu la kuwasaidia Bokoharam kuwaua waumini hawa madhulumu.