Main Title

source : abna.ir
Jumamosi

19 Desemba 2015

16:06:32
725826

Video ya Jenerali mtaalam wa Vita wa Iran akiongoza vita dhidi ya magaidi Syria

Hii ni Video ya Jeneral Qassim Suleiman mtaalamu wa vita kutoka Iran ambaye anasifika kwa uwezo wake wa juu wa kuongoza vita, akiwa mstali wa mbele akiongoza vita dhidi ya magaidi nchini Syria. Jenerali huyu kwa sasa anaongoza vita nchini Syria na Iraq dhidi ya magaidi .