Main Title

source : abna.ir
Jumapili

10 Januari 2016

20:44:26
729949

Video ya Bint wa mfalme wa Saudia arabia akieleza masikitiko yake kufuatia mauaji yaliyofanywa na serikali yake dhidi ya Sheikh

Hii ni video ikinyesha binti wa mfalme wa Saudia arabia Sahar bint Abdullah bin Abdul aziz akielezea masikitiko yake kufuatia ufalme wa nchi hiyo kumuua mwanaharakati na mtetezi wa haki za raia wa nchi hiyo Sheikh Nimri