Main Title

source : abna.ir
Ijumaa

4 Machi 2016

21:04:39
738860

Video ya Jenerali wa jeshi la Iran akigawa pipi kwa watoto katika maeneo ya vita nchini Syria

Jeneral Qasem Suleiman mtaalamu wa vita anayesifika duniani kwa ustadi wake katika uwanja wa vita, ambaye anaongoza vita dhidi ya magaidi wa Daeshi nchini Syria na Iraq. Jenerali huyu ndiye sababu kubwa ya Magaidi wa Daesh kuishiwa nguvu na kujikuta wakirudi nyuma siku baada ya siku.