Main Title

source : abna.ir
Jumatano

9 Machi 2016

22:01:59
740040

Video Ikionyesha makundi ya magaidi wakiingia Syria kupitia mipaka ya Uturuki

Serikali ya Uturuki ikishirikiana na Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya zimekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha wanauangusha utawala halali wa Syria. kwa kutuma askari wanaojitolea kwa kulipwa pesa nyingi na kwenda kujiunga na makundi ya kigaidi wakipita mipaka ya Uturuki kuingia Syria.