Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Katika hatua ya ishara, baadhi ya raia Waislamu nchini France wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wamekataa kununua tende zinazozalishwa nchini Israel na kuzirudisha kwa wauzaji.
Hatua hiyo imesambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, na kuchochea mijadala ya kijamii na kiuchumi.
Your Comment