Tite2
-
Msaada wa mwanafikra wa Algeria kwa Iran; Wafuasi wa utamaduni wa Alawi wanasimama dhidi ya udhalimu
Yahya Abu Zakaria aliandika: Wote waliopata dini yao kutoka kwa zuriya safi na utamaduni wa…
-
Wafuasi wa Ahlul-Bayt (as) Mjini Nakuru - Kenya Waliupokea Mwezi wa Ibada na Toba - Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Imani, Umoja na Mshikamano
Waislamu wa Nakuru, wafuasi wa Ahlul-Bayt, walikusanyika katika Ijumaa ya kwanza ya Ramadhan…
-
EAC Yafanya Mazungumzo ya Kuondoa Vizuizi vya Biashara na Kuongeza Ukuaji wa Kanda
EAC imezindua kikao cha kiwango cha juu Kigali, Rwanda, kukabiliana na vizuizi vya biashara…
-
Faida za Mwezi Mtukufu wa Ramadhan | Faida za Kimwili, Kiroho na Kijamii +Video
Mwezi Mtukufu wa Ramadhan unaleta faida nyingi kwa Waislamu: kimwili, kwa kuimarisha afya,…
-
Darsa ya Ramadhan | Al-Haj Dkt. Saleh Maulid Asisitiza Imani na Matendo Mema Katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Alhaj Dkt. Saleh Maulid, akizungumza baada ya Sala ya Dhuhri katika Chuo cha Kisayansi cha…
-
Kumfuata Mtume(s) kama Kielelezo Bora | Wanafunzi wa Hawzat Hazrat Zainab(sa) Tanzania Waadhimisha Ramadhan kwa Ratiba Maalum ya Usomaji wa Qur’an
Wakiongozwa na azma ya kumfuata Mtume (saww) kama kielelezo bora cha maisha ya Kiislamu, wanafunzi…
-
Jamiatul Mustafa - Dar-es-salaam | Funga za Viungo Zasisitizwa kama Njia ya Kufikia Taq'wa katika Kongamano la Kielimu +Picha
Akitoa mada katika kongamano la kielimu lililofanyika katika Chuo cha Jamiatul Mustafa (s)…
-
Simulizi ya Mabadiliko ya maisha ya Muimba Mziki na Rapa kutoka Madagascar baada ya kuhudhuria katika Majlisi ya Maombolezo ya Imam Hussein(a.s)+Video
Rapa mmoja kutoka Madagascar ameeleza kusilimu kwake baada ya kuhudhuria Majlisi ya Maombolezo…
-
Kikao cha Kiakhlaq cha Wanafunzi na Rais wa Jamiat Al-Mustafa Tanzania, Dk. Ali Taqavi +Picha
Siku ya Jumatano, 18 Februari 2026, Dk. Ali Taqavi, Rais wa Chuo cha Al-Mustafa International…
-
Sheikh Dr.Alhad Mussa Salum: Swaumu ya Ramadhan si adhabu, bali ni Tiba ya Kiroho na Kimwili
Sheikh Dr. Alhad Mussa Salum anafafanua kuwa swaumu ya mwezi mtukufu wa Ramadhan si adhabu,…
-
Ubalozi wa Iran Nchini Tanzania Waadhimisha Miaka 47 ya Mapinduzi ya Kiislamu +Video
Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Nchini Tanzania umeadhimisha miaka 47 ya ushindi wa…
-
Malawi | Mjadala wa Kielimu kuhusu Mkombozi wa Ulimwengu katika Mtazamo wa Dini Mbalimbali +Video
Wanazuoni wa Kikristo na Kiislamu nchini Malawi wamekutana katika mjadala wa kielimu kujadili…
-
Vijana 250 Washiriki Semina ya Wajibu Katika Kipindi cha Ghaibah Kubwa +Dodoma
Semina hiyo iliyoandaliwa na wanafunzi wa Kishia wa vyuo vikuu mjini Dodoma kwa ushirikiano…
-
Sheikh Dr.Alhad Mussa Salum aimarisha Falsafa ya Udugu wa Kibinadamu Katika Kongamano la Kielimu Tanzania +Picha
Kikao cha 5 cha Kielimu kilichojadili mada ya “Mkombozi Katika Mitazamo ya Dini Mbalimbali:…
-
Mkutano wa Mshikamano na Wapalestina Mbele ya Bunge la Moroko
Jioni ya Ijumaa, mji mkuu wa Morocco, Rabat, ulishuhudia mkutano wa kuonesha mshikamano na…
-
Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa Imam Mahdi (AS): Vijana Wakumbushwa Wajibu wa Kuijenga Jamii ya Uadilifu katika Kipindi cha Ghaiba
Katika mnasaba wa maadhimisho ya Kuzaliwa kwa Imam Mahdi (AS), Waislamu wa Shia na Sunni walikusanyi…
-
Maulana Sheikh Hemed Jalala: "Uislamu ni Ushindi, Izza na Umoja wa Umma"
Sheikh Hemed Jalala: Uislamu wa kweli ulioshikamana na thaqafa ya Karbala unamtambua adui,…
-
Rais Samia Ampokea Rais Museveni Ikulu Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi ya Siku Moja +Picha
Ziara hiyo inalenga kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia, kiuchumi na kijamii kati ya Tanzania…
-
Sheikh Ibrahim Zakzaky (H) Ahudhuria na Kuongea na Maelfu wa Waumini Katika Maadhimisho ya Nisfu Sha’aban Abuja, Nigeria
Kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, Kiongozi wa Harakati za Kiislamu Nigeria, Seikh Ibrahim Zakzaky…
-
Ziara ya Mwenyekiti wa JMAT-TAIFA Sheikh Dkt.Al-Had Mussa Salum Nchini Misri Yaleta Mafanikio kwa Maendeleo ya Vijana
Ziara ya Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum nchini Misri imefungua ukurasa mpya wa ushirikiano…