Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Vikao (Majalis) mbalimbali za Maombolezo ya Shahadat ya Imam Hussein (as) Katika Mwezi huu Mtukufu wa Muharram - 1447 Hijria, zinaendelea kila Siku Nchini Malawi chini ya Usimamizi wa Jamiat Al-Mustafa (s) - Malawi. Waislamu Kote Duniani hususan Wapenzi wa Haki na wachukiao dhulma, wanaendelea kumuezi na kumkumbuka Imam Hussein (as), Mjukuu wa Mtume (saww), na kuisha Malengo Matukufu ya Mapinduzi yake aliyoyafanya katika Ardhi ya Karbala.
29 Juni 2025 - 15:48
News ID: 1702969
Your Comment