Tite2
-
Sayyid Mustafa Khamenei: Subira haiipingani na kulipiza haki wala kukabiliana na waovu
Sayyid Mustafa Khamenei amesema kuwa subira ya kweli si udhaifu wala kusalimu amri, bali ni…
-
Msemaji wa Jeshi: Vikosi vya Silaha havitakubali kupunguza hata chembe kwenye mlangobahari wa Hormuz
Msemaji wa Jeshi alisema: Wananchi wa Iran wawe na uhakika kwamba vikosi vya silaha, hasa jeshi…
-
Iran yadai kuidungua droni ya Marekani aina ya MQ-1 katika Mlango wa Hormuz
Iran imedai kuwa imeidungua droni ya kijeshi ya Marekani aina ya MQ-1 iliyokuwa ikiruka katika…
-
Iran yaokoa mabaharia 23 baada ya meli mbili kugongana katika Ghuba ya Uajemi
Mamlaka ya Bandari na Usafiri wa Baharini ya mkoa wa Hormozgan nchini Iran imefanikiwa kuwaokoa…
-
IRGC yadai kushambulia vituo vya kimkakati vya Marekani nchini Jordan kwa makombora ya balestiki
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limedai kuwa katika awamu ya tatu ya wimbi…
-
IRGC Yatoa Taarifa ya Kuharibu Rada za Jeshi la Wanamaji la Marekani nchini Bahrain katika Operesheni "Nasr 2 | Ushindi 2"
limedai kuharibu rada za ulinzi wa anga, mfumo wa onyo la mapema na kituo cha udhibiti wa boti…
-
IRGC yatangaza awamu ya pili ya Operesheni "Nasr 2"; yadokeza kushambulia vituo vya mawasiliano na makazi ya wanajeshi wa Marekani Bahrain
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limedai kuwa katika awamu ya pili ya Operesheni…
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Kulipiza kisasi hakutategemea uwepo wangu au wa viongozi wengine
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa kuwawajibisha waliohusika na mauaji ya Kiongozi…
-
Iran: Kuwaadhibu waliohusika na mauaji ya Kiongozi Shahidi ni haki ya taifa
Naibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa kuwawajibisha waliopanga, kutekeleza…
-
IRGC Yatangaza Kushambulia Miundombinu ya Kijeshi ya Marekani nchini Bahrain na Mifumo ya Rada Nchini Oman
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limedai kuwa limeharibu miundombinu ya kijeshi…
-
IRGC yadai kulenga Kambi ya Anga ya Amir Hassan nchini Jordan kwa makombora na ndege zisizo na rubani
Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), vikosi vyake vimedai…
-
Makala Yaangazia Sababu Zinazotajwa Kuifanya Iran Kudumu Chini ya Vikwazo na Migogoro
Makala iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii imeeleza mtazamo unaosisitiza kuwa uimara wa…
-
Iran: Marekani Imekiuka Mara Kadhaa Hati ya Maelewano; Tehran Yasisitiza Haitaanzisha Ukiukaji wa Makubaliano
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema Hati ya Maelewano kati ya Tehran na Washington inapitia…
-
Iran: Utekelezaji wa Makubaliano na Marekani Unategemea Kutekelezwa kwa Ahadi za Washington | Makubaliano hayo Yamekwisha baina ya Iran na Marekani
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema kuwa utekelezaji wa makubaliano yoyote na Marekani unategemea…
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Aliyekuwa Amir wa Qatar
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Abbas Araghchi, ametuma salamu…
-
Mwitikio wa Wazayuni kwa kifo cha Seneta wa Marekani anayechukia Iran
Watu wa kisiasa na maafisa wa utawala wa Kizayuni wamejibu kifo cha seneta wa Marekani aliyekuwa…
-
Mkutano wa Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa kuhusu Lebanon na Araghchi
Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa kuhusu Lebanon, ambaye amesafiri hadi Tehran kwa mashauriano…
-
Ayatollah Araki Akihutubia Vijana Duniani:
“Kumwaga damu ya Trump, Netanyahu na washirika wao ni ‘wajibu’; vijana wenye ari duniani kote watekeleze hukumu ya Mwenyezi Mungu”
Ayatollah Araki amesisitiza kwamba: “Ujumbe wa Kiongozi Mkuu na mpendwa kuhusu kulipiza damu…
-
Ayatollah Khatami: Trump na Netanyahu Hawatakuwa na Usingizi wa Amani
Mwanachama wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Elimu ya Kiislamu ya Qom amesema kuwa ibada za…
-
Vyombo vya Habari vya Kiarabu Vyaupa Uzito Ujumbe wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu; Vasisitiza Ulipizaji wa Damu na Kuendelea kwa Muqawama
Vyombo vya habari mashuhuri vya eneo hilo kutoka Lebanon, Iraq, Yemen, Palestina, Qatar na…