Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Utawala wa Kizayuni unaokalia kwa mabavu Palestina, umeua zaidi ya watoto 18,000 tangu kuanza kwa mauaji ya halaiki dhidi ya wakazi wa Gaza.
Picha hii inaonyesha jinsi utawala huu ulivyokuwa utawala wa kinyama na wenye damu mikononi dhidi ya watoto wadogo wa ghaza wasiokuwa na hatia. Utawala huu ni kansa katika eneo zima la Mashariki ya kati na dunia kwa ujumla.
Your Comment