MAKALA
-
Sehemu ya Fadhila za Kipekee za Imam Ali (a.s):
MakalaImam Ali (a.s) ni Mtu wa Kwanza kuzaliwa ndani ya Msikiti na Kuuliwa ndani ya Msikiti
Imam Ali (a.s), Maisha yake yote yalikuwa ni Maisha ya kuweka uthabiti na kuimarisha nguzo na misingi ya Uislamu, pia kujitolea muhanga kwa kitu ghali na chenye thamani kubwa, ili kuhakikisha neno la Mwenyezi Mungu…
-
Fadhila za Mwezi Mtukufu wa Ramadhan:
MakalaTusiwe wavivu ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, na tusichoke kuomba Maghfira na Msamaha
Kila kizuri unachokifanya ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, ni thawabu.Hata pumzi zetu tunapopumua ndani ya Mwezi huu, hilo linahesabiwa kuwa ni ibada, na hata kulala kwetu na usingizi wetu ndani yake pia ni ibada.…
-
Vi[indi vya Tafsiri ya Qur’an Tukufu:
MakalaTafsiri ya Aya ya Kwanza ya Surat Al-Maidah
Kwa kuwa "Hakika ya Waumini ni ndugu", basi Muislamu anatakiwa kuhakikisha kuwa anatimiza Haki ya ndugu yake Muislamu, na anatetea Haki yake kama Muislamu na kama ndugu yake.
-
MakalaUshahidi wa Mawalii Katika Kumfananisha Ali na Manabii
Ali (a.s), wapo Watu waliodai kuwa wanampenda, mpaka wakamfanya kuwa ni mungu, ametakasika Mwenyezi Mungu na wanayo mshirikisha nayo. Na wapo watu waliomchukia na wakampiga vita, wakamtukana na kumlaani, wakakufuru…
-
MakalaAnsarullah: Tutabaki na Gaza kwa gharama yoyote ile
Mjumbe Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah amesisitiza kuwa, Yemen haitaacha kuiunga mkono Palestina kwa gharama yoyote ile na akasema: Kila mtu anajua kuwa Yemen ni Mwaminifu katika kujibu hujuma…
-
Sheikh Rajab Shaaban:
MakalaImam Hassan Al-Mujtaba (a.s) anazo fadhila nyingi na daraja ya juu
Tunayo mengi ya kujifunza kutoka ndani ya Qur’an Tukufu na kutoka kwa Itrah wa Mtume, Ahlul-Bayt wake Watoharifu (amani iwe juu yao), ambavyo ndio vizito vyetu viwili na viongozi wetu baada ya Mtume wetu Muhammad…
-
Sheikh Reihan Yasin:
MakalaRamadhani ni Fursa ya Wakati
"Kila Muislamu anapaswa kuamini kuwa: Kuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni fursa ya wakati. Hivi ndivyo Mtume Muhammad (s.a.w.w) na Ahlul-Bayt wa Mtume (a.s) pamoja na Masahaba wema walivyokuwa wakiamini, kwao Ramadhani…
-
MakalaKuwatukana wakubwa wa kidini; Asili, motisha na haiba, shakhsia ya upuuzi ya wadhalilishaji
Kuwatukana viongozi wakubwa wa kidini, daima imekuwa moja ya masuala nyeti na changamoto katika jamii za kidini. Jambo hili sio tu linaumiza hisia za waumini, lakini pia linaonyesha upungufu wa maadili na tabia…
-
SwahiliDini ya Mtume (s.a.w.w) kabla ya Utume (Biitha) wake
Nabii Muhammad (s.a.w.w) hakufuata Dini ya Nabii Ibrahim (a.s), wala Dini ya Nabii Musa (a.s), wala Dini ya Nabii Issa (a.s); bali yeye alikuwa na Wajibu (Taklif) mahsusi kwake mwenyewe binafsi, na Malaika walikuwa…
-
SwahiliSiri za kula kiafya katika mafundisho ya Kiislamu
Lishe bora ni moja ya mambo muhimu katika kudumisha afya ya mwili na roho katika mafundisho ya dini. Uislamu unaelekeza umuhimu maalum kwa ulaji wa kiafya kwa kutoa miongozo ya kina kuhusu kuchagua aina ya chakula,…
-
"Aya kuu za Qurani" 1
SwahiliMaisha magumu ni matokeo ya kusahau kumkumbuka Mwenyezi Mungu
Maisha magumu yanamaanisha maisha bila Mwenyezi Mungu.
-
SwahiliKwa nini Mwenyezi Mungu aliumba ulimwengu na vyote vilivyomo?
Ikiwa Mungu hangeumba ulimwengu huu na uzuri huu, sifa za Mungu zingebaki zimefichwa.