-
serviceOnyo Kali la Iran kwa Marekani na Utawala wa Kizayuni
Katika mazingira ya kuongezeka kwa vita vya kisaikolojia vinavyoendeshwa na Marekani pamoja na utawala wa Kizayuni, na vitisho vya mara kwa mara kutoka kwa Donald Trump na maafisa waandamizi…
Habari za hivi punde
-
serviceHabari Pichani + Mjukuu wa Mwalimu Nyerere katika Semina ya Quds asisitiza kwamba Palestina lazima iwe huru na ni wajibu wetu kusimama na Palestina
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Mjukuu wa Mwalimu Nyerere katika Semina ya Quds asisitiza kwamba Palestina lazima iwe huru na sisi wote ni wajibu wetu kusimama pamoja na Wapalestina na kutetea Haki za Wapalestina na Wanadamu wote wanodhulumiwa na kukandamizwa Ulimwenguni.Haiwezekani kuwepo na amani pasina haki, Wapalestina wapate haki
-
serviceHabari Pichani | Mawahhabi nchini Tanzania wafuata mkumbo wa Mwezi wa Saudia wasikitikiwa kulishwa hadharani mchana wa Mwezi wa Ramadhani - 1446H
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Mawahhabi nchini Tanzania wafuata mkumbo wa Mwezi wa Saudia wasikitikiwa kulishwa hadharani mchana wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani - 1446H. Ni baada ya kubainika kuwa saudia Arabia walikosea tarehe 30 Machi, 2025(Siku ya Jumapili) haikuwa siku sahihi ya Eid al-Fitr kwa sababu Mwezi haukuandama, na siku sahihi ya Eid Al-Fitr ilikuwa ni tarehe 31 Machi, 2025 (Siku ya Jumatatu). Waislamu wote nchini Tanzania walisherehekea Siku ya Eid Fitr siku ya Jumatatu (31 Machi, 2015) ispokuwa wafuata Mwezi wa Saudia, na matokeo ya kufuata Saudia ni hayo ya kulishwa hadharani mchana wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
serviceTrump atafakari pendekezo la mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran
Ikulu ya Marekani White House inatathmini pendekezo la kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran; na wakati huo huo inaongeza kiwango cha vikosi vya jeshi lake vamizi katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ili kujiandaa kwa operesheni tarajiwa za kijeshi dhidi ya Tehran.
-
special-issueBaraza la Usalama kufanya mkutano wa dharura kujadili Gaza
Algeria imeomba kufanyika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili hali ya Palestina. Mkutano huo unatazamiwa kufanyika leo Alkhamisi.
-
serviceTel Aviv yakumbwa na mshtuko baada ya Trump kutangaza ushuru kwa bidhaa zote za Israel
Maafisa wa utawala ghasibu wa Israel wamepatwa na mshtuko baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kutoza ushuru wa asilimia 17 kwa bidhaa zote za Israel, licha ya hivi majuzi Tel Aviv kuondoa ushuru wote kwa bidhaa za Marekani.
-
special-issueMungano wa makundi ya Muqawama wa kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni
Viongozi wa makundi ya Muqawama katika eneo la Asia Magharibi wametoa ujumbe kwa nyakati tofauti wakisisitiza kwamba wataendelea kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni kwa umoja wao.
-
special-issueMakumi ya raia wameuawa katika hujuma za US nchini Yemen
Wimbi la mashambulizi ya kiuhasama ya Marekani dhidi ya Yemen kwa lengo la kuilazimisha nchi hiyo ya Kiarabu kusitisha msaada na uungaji mkono wake kwa Wapalestina wa Gaza, limepelekea makumi ya raia wa Yemen kuuawa ndani ya wiki mbili.
-
special-issue"Saudia, UAE, Qatar, Kuwait zapiga marufuku ndege za US kufanya mashambulio"
Saudi Arabia na mataifa mengine ya Ghuba ya Uajemi yamepiga marufuku ndege za kivita za Marekani kutumia viwanja vyake vya ndege au anga zao kufanya mashambulizi dhidi ya Yemen.
-
special-issueBaraza la Haki la UN lalaani mauaji mapya ya kimbari Gaza
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kulaani mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
special-issueIsrael yaua Wapalestina wengine karibu 80 Gaza, Guterres asikitika
Israel yaua Wapalestina wengine karibu 80 Gaza, Guterres asikitika