-
Mdororo wa uchumi Ujerumani; Siemens kuwafuta kazi watu 6,000
Kampuni kubwa ya masuala ya uhandisi na teknolojia ya Siemens imesema inapania kupunguza kazi karibu 6,000 duniani kote, zikiwemo 2,850 nchini Ujerumani.
-
Russia: Israel haina haki ya kuzungumzia miradi ya nyuklia ya Iran
Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Mashirika ya Kimataifa mjini Vienna, Mikhail Ulyanov, amesema kuwa utawala wa Israel hauna haki ya kutoa maoni kuhusiana na mpango wa amani wa nyuklia wa Iran.
-
Mkutano wa London, maonyesho ya nguvu na uungaji mkono kwa Ukraine bila dhamana ya utekelezaji
Siku mbili baada ya kufedheheshwa Rais Zelensky wa Ukraine katika Ikulu ya White House na suala hilo kuakisiwa pakubwa kimataifa, viongozi wa nchi 19 za Ulaya, Canada na maafisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Ulaya na muungano wa NATO wamekutana mjini London kwa ajili ya kutangaza mshikamano wao na Ukraine katika vita vyake na Russia.
-
Viongozi wa Ulaya waumizwa na kusitishwa msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Ukraine
Uamuzi wa Marekani wa kusita kuipa Ukraine silaha umepata majibu tofauti kutoka kwa viongozi wa nchi za Ulaya.
-
Sweden waandamana kupinga mpango wa Trump wa kuwafukuza Wapalestina Gaza
Mpango usio wa kibinadamu wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuwafukuza Wapalestina kutoka katika Ukanda wa Gaza umeendelea kupingwa kila kona ya ulimwengu.