-
Wafanyakazi 300 wa Google wapinga kuiuzia Israel teknlojia ya AI, inatumika kuua raia Gaza
Wafanyakazi karibu 300 wa Kampuni ya Google nchini Uingereza wamepinga uamuzi wa kampuni hiyo wa kuuza teknolojia ya akili mnemba (AI) kwa makampuni ya usalama yenye uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel na kutaka hatua hiyo isitishwe.
-
Mwislamu auawa Ufaransa, muuaji alirekodi uhalifu huo na kumtukana Mungu
Muislamu mmoja ameuawa nchini Ufaransa baada ya kudungwa kisu takriban mara 50 na mwanamume Mfaransa mwenye chuki dhidi ya Uislamu ndani ya msikiti katika manispaa ya La Grand-Combe katika eneo la Le Gard kusini mashariki mwa Ufaransa. Polisi wamemtambua mtu huyo.
-
Putin aishukuru Korea Kaskazini kwa msaada wake wa kijeshi
Rais wa Russia, Vladimir Putin ametoa shukrani zake za dhati kwa wanajeshi wa Korea Kaskazini na kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong-un, kwa msaada na uungaji mkono wao katika operesheni ya kuzima uvamizi wa Ukraine.
-
Ripoti: Gharama za kijeshi duniani zimeongezeka sana
Matumizi ya kijeshi ulimwenguni yameongezeka kwa kiwango kikubwa zaidi tangu kumalizika kwa Vita Baridi na kufikia dola trilioni 2.7.
-
Umoja wa Mataifa: Gaza itakabiliwa na hali mbaya zaidi katika siku za usoni
Umoja wa Mataifaa aumetangaza kuwa, eneo laa Ukanda waa Gazaa litakabiliwa na ahali mbaaya zaidi ya kibinadamu katika siku za usoni na kwamba, kuna haja ya kuchukuliwa hatua kuzuia kutokea hilo.
-
Makumi ya wahamiaji wa Kiafrika wauawa kwa shambulio la Marekani
Takriban wahamiaji 68 wa Afrika wameripotiwa kuuawa kufuatia shambulio la anga la Marekani dhidi ya kituo kimoja kinachodhibitiwa na Harakati ya Ansarulllah ya Yemen kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo.
-
Watoto 1,000 wauawa Palestina katika kipindi cha wiki moja
Watoto wasiopungua 1,000 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika kipindi cha juma moja kufuatia wimbi jipya la hujuma na unyaama wa utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Kiongozi Muadhamu atoa mkono wa pole kufuatia mripuko 'mchungu' kusini mwa Iran
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa salamu za rambirambi kwa familia zinazoomboleza wahanga wa mripuko "mchungu" katika Bandari ya Shahid Rajaee katika mji wa kusini wa Bandar Abbas, na kutaka uchunguzi wa kina ufanyike kuhusiana na tukio hilo.
-
Duru ya nne ya mazungumzo ya Iran na Marekani kufanyika karibuni
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran, Ismail Baqaei, amesema kuwa, duru ya nne ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani itafanyika Jumamosi ijayo huko Muscat, Oman.
-
Araghchi: Kuendelea kuzingirwa Gaza na kuuawa watu wasio na hatia ni jinai isiyo na mfano
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuendelea kuzingirwa Gaza na kuuawa watu wasio na hatia ni jinai isiyo na mfano katika historia ya mwanadamu.
-
Rais Pezeshkian: Mafungamano ya kihistoria ya Iran na Azerbaijan ni ufunguo wa maendeleo ya ushirikiano
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, mafungamano ya kihistoria kati ya ya Iran na Azerbaijan yanafungua njia ya maendeleo ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
-
Siku ya Wakati Maalum:
Ni ipi Maana ya Kauli ya Mwenyezi Mungu aliposema kumwambia Shetani: "یوم الوقت المعلوم" “Siku ya Wakati Maalum"
katika ufahamu wa Shia (Wafuasi wa Ahlul-Bayt - a.s - ), "یوم الوقت المعلوم" ni Siku ya dhahiri ya Haki na Uadilifu wa Mwenyezi Mungu Duniani, yaani Siku ya Mapinduzi ya Dunia yakiongozwa na Imam Mahdi (a.t.f.s), kabla ya Siku ya Kiyama.
-
Hadithi ya Shetani na Mwanadamu:
"Siri ya Muda wa Shetani Kuishi: Kwa Nini Mwenyezi Mungu Alimpa Shetani Muda Mrefu wa Kuishi?
Tangu wakati huo ambapo Shetani aliasi na kukataa kumsujudia Adam (a.s), mzozo wa kihistoria kati yake na Mwanadamu ulianza; mzozo ambao unaendelea hadi leo hii. Lakini swali muhimu ni hili: Kwa nini Mwenyezi Mungu alimpa adui huyu katili (Shetani) muda mrefu wa kuendelea kuishi na kujaribu na kuwapoteza watoto wa Adam (Wanadamu)?!. Nakuletea Hadithi nzuri na yenye mazingitio ndani yake kuhusu Shetani na Mwanadamu, na utaijua sababu na siri ya Ruhusa ya Mwenyezi Mungu kwa Shetani ili aendelee kuishi kwa muda mrefu.
-
Habari ya Kusikitisha | Uhalifu Mpya wa Marekani na Mauaji ya Watoto na Raia Wasio na Hatia huko Yemen + Picha
Kwa mujibu wa Shirika la Habari Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Ndege za kivita za Marekani katika uhalifu wao wa hivi karibuni zimelipua maeneo ya makazi katika Mji Mkuu wa Yemen na kuwaua makumi ya watu, wakiwemo wahamiaji kutoka Afrika.
-
Ufunguzi wa Masomo katika Madrasat Al-Hadi Islamic Center ulioambatana na Kisomo cha Qur'an Tukufu - Nchini Malawi + Picha
Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Leo hii tarehe 28 April, 2025, imekuwa ni siku rasmi ya ufunguzi wa masomo katika Madrasat Al-Hadi Islamic Center iliyopo chini ya Uwakilishi wa Jamiat Al-Mustafa (s) nchini Malawi, na kurudi kwa wanafunzi kutoka likizoni. Ufunguzi huu wa masomo ya Madrasat hii umeambatana na Kisomo cha Qur'an Tukufu.
-
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kufuatia tukio la moto katika Bandari ya Shahid Rajaei, Bandar Abbas
Ayatollah Khamenei amewaombea Marehemu rehma na msamaha kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na amewatakia familia za wahanga subira na utulivu wa moyo. Vilevile, amewaombea majeruhi wapate uponyaji wa haraka.
-
Mwanakaligrafia wa Bahrain asema kuandika Qur'an kwa mkono kumeongeza hamasa kwa Kaligrafia ya Kiarabu
Mwanakaligrafia kutoka Bahrain amesema kuwa wazo lake la kuandika Qur'ani kwa mkono limeongeza idadi ya watu wanaovutiwa na sanaa ya kaligrafia ya Kiarabu.
-
Iran iko tayari kuimarisha mahusiano na Afrika katika nyanja zote
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza uwezo wa bara la Afrika na ulazima wa kuwepo ushirikiano na kwamba, IIran iko tayari kupanua ushirikiano wake na bara la Afrika katika nyanja zote.
-
Wanachuo wampigisha magoti Trump, awarejeshea viza
Utawala wa Trump umelazimika kuwarejeshea viza maelfu ya wanafunzi wa kigeni wanaosoma nchini Marekani ambao alikuwa amewafutia vibali vya kuishi nchini humo kutokana na kuunga mkono Palestina na kulaani jinai za Israel.
-
Zelensky: Kombora lililoua raia 12 Kiev lilikuwa na vifaa vilivyotengezwa na makampuni ya silaha ya Marekani
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amedai kuwa vifaa vilivyotengenezwa na makampuni ya Marekani vilipatikana kwenye kombora lililotumiwa kushambulia mji mkuu wa nchi hiyo Kyiv mapema wiki hii na kuua watu 12.
-
UN yatuma salamu za pole na rambirambi kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia mripuko wa Bandar Abbas
Umoja wa Mataifa umetuma salamu za pole kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia mripuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Shahidi Rajaee kusini mwa Iran jana Jumamosi.
-
OIC yalaani hatua ya Marekani dhidi ya shirika la UNRWA
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imelaani vikali uamuzi wa serikali ya Marekani wa kuliondolea kinga ya kisheria Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Wapalestina (UNRWA).
-
Wapalestina wengine 51 wauawa shahidi katika hujuma ya kinyama ya Israel
Kwa akali Wapalaestina 50 wameuawa shahidi katika mashambulio ya kinyama ya karibuni zaidi kufanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza huku idadi ya vifo ikiendelea kuongezeka.
-
Waandamanaji Tel Aviv watishia kumuua Netanyahu
Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ameendelea kuandamwa na mashinikizo baada ya kufanyika maandamano mengine dhidi yake huku waandamanaji wakitishia kumuua.
-
Pezeshkian asisitiza haja ya ushirikiano wa nchi za eneo ili kukabiliana na ugaidi
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuna udharura wa kuwepo na ushirikiano thabiti miongoni mwa nchi za eneo hili, ili kwa pamoja ziweze kupambana na zimwi la ugaidi.
-
Araqchi: Nimeridhishwa na hatua zilizopigwa katika mazungumzo na Marekani; mashauriano zaidi yanahitajika
Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema ameridhishwa na hatua zilizopigwa hadi sasa katika mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani.
-
Usafirishaji nje bidhaa waanza tena kwenye Bandari ya Shahid Rajaee baada ya mlipuko wa jana
Idara ya Forodha ya Irani imetangaza kuwa: Taratibu za forodha za usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi zimeanza tena katika Forodha ya Bandari ya Shahid Rajaee huko Bandar Abbas.
-
Pezeshkian: Iran iko tayari kupanua mahusiano na Afrika katika nyanja zote
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amezungumzia uwezo wa bara la Afrika na ulazima wa kuwepo ushirikiano na kwamba, Iran iko tayari kupanua ushirikiano wake na bara la Afrika katika nyanja zote.
-
Habari Pichani | Maombolezo ya Wafuasi wa Ahlul-Bayt (as), Wilaya ya Ras Al-Ruman, Bahrain katika Kumbukumbu ya Shahada ya Imam Ja'far Sadiq (AS)
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-bayt (AS) - Abna - Maombolezo ya wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) katika Wilaya ya Ras al-Rumanm, Bahrain yalifanyika kwa juhudi za Idara ya Ashbal al-Zahra, kwa kushirikiana na wapenzi wafuasi wa Ahlul Bayt (A.S) katika kuhuisha kumbukumbu ya Shahada ya Imam Ja'far al-Sadiq (A.S) katika Mji wa Ras al-Ruman, Bahrain.
-
Yemen yaachia kombora la Hipersoniki kulenga kituo cha kijeshi cha Wazayuni katika eneo la Negev
Jeshi la Missili la Jeshi la Silaha la Yemen limetekeleza operesheni ya kijeshi ikilenga Kituo cha Anga cha Nevatim katika eneo la Negev, kusini mwa Palestina iliyokaliwa, kwa kutumia kombora la hipersoniki la balistiki.