22 Februari 2026 - 22:28
Majibu kwa kauli za kadhia ya Balozi wa Marekani: "Kutoka Nile hadi Furat"

Kauli ya balozi wa Marekani kuhusu Israel kumiliki ardhi "kutoka Nile hadi Furat" imesababisha lawama kubwa, hasa nchini Pakistan, na kupingwa na wanaharakati wa kisiasa na vyombo vya habari.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kauli za kadhia ya Balozi wa Marekani nchini Israel kuhusu madai ya Israel kumiliki ardhi kutoka Mto Nile hadi Mto Furat, zimeibua wimbi la majibu na lawama katika eneo hilo.

Kauli hizi zilikosolewa sana hasa nchini Pakistan, zikipingwa na wanaharakati wa kisiasa na vyombo vya habari.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha