16 Desemba 2025 - 21:20
Afrika Kusini kwenye Njia Panda | Kutoka Mapambano ya Ubaguzi Hadi Siasa za Utaifa na Ubaguzi - Simulizi Mpya ya Afrika Kusini +Video

Je, harakati ya “Mwafrika Kusini Kwanza” ni mwendelezo wa mapambano ya kihistoria dhidi ya ubaguzi, au ni mwelekeo mpya unaoelekea kurudia misingi ile ile ya ubaguzi dhidi ya Mwafrika mwenyewe?.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt as -ABNA- Je, Afrika Kusini iko njiani kurudia historia ile ile ya ubaguzi ambayo hapo awali ilisimama kidete kuupinga?. Je, harakati ya “Mwafrika Kusini Kwanza” ni mwendelezo wa mapambano ya kihistoria dhidi ya ubaguzi,
au ni mwelekeo mpya unaoelekea kurudia misingi ile ile ya ubaguzi dhidi ya Mwafrika mwenyewe?

Pata majibu ya maswali haya nyeti katika makala fupi lakini yenye uzito mkubwa, iliyoandaliwa na Mwanahabari na Mchambuzi wetu, Al-Muhtaram Salum Bendera, anayechambua kwa umakini uhalisia wa sasa, mizizi ya harakati ya Mwafrika Kusini Kwanza, na athari zake kwa mustakabali wa jamii ya Afrika Kusini.

Afrika Kusini kwenye Njia Panda | Kutoka Mapambano ya Ubaguzi Hadi Siasa za Utaifa na Ubaguzi - Simulizi Mpya ya Afrika Kusini +Video

Your Comment

You are replying to: .
captcha