MAKALA
-
“Ikiwa riziki imeamuliwa, kwa nini tunapaswa kufanya kazi?”
Mara nyingi huulizwa: “Ikiwa riziki ya kila mtu imehakikishwa na imepangwa na Mwenyezi Mungu,…
-
Arubaini: Jukwaa la Haki, Amani na Uadilifu, na ni Taa ya Uongofu na Jahazi la Uokovu
Historia inaonyesha kuwa jukwaa hili lina mizizi imara katika imani, haki na uadilifu. Lilianza…
-
Tafsiri ya Surat Al_Baqarah, Aya ya 200-202 | Mushrikina walirithi Ibada ya Hijja kutoka kwa Nabii Ibrahim(as) lakini walitia uzushi mwingi ndani yake
Wanaotaka Starehe za Dunia, humuabudu Mwenyezi Mungu kwa ajili ya Dunia. Hao ndio wale wasiokuwa…
-
Mbinu za Mwisho za Shetani Katika Sekunde za Mwisho za Maisha
Katika sekunde za mwisho za kuaga dunia, shetani hachoki kujaribu kumdanganya mtu na ana matumaini…
-
Nguvu ya Maamuzi Inashinda Haja na Matamanio ya Mwanadamu | Matamanio hukutaka uishi kwa sasa; Maamuzi hukutaka uishi kwa heshima
“Watu wengi wanataka kubadilika katika maisha yao na kuwa na maendeleo mazuri, lakini ni wachache…
-
"Kuna Wivu wa Husuda na Wivu Ghibta | Je, Tuwe na Wivu wa Aina ya Ghibta au Tusiwe nao?"
Husuda ni kutamani neema ya mtu mwingine itoweke, iwe neema hiyo itamfikia mwenye husuda au…
-
Siku ya Wakati Maalum:
Ni ipi Maana ya Kauli ya Mwenyezi Mungu aliposema kumwambia Shetani: "یوم الوقت المعلوم" “Siku ya Wakati Maalum"
katika ufahamu wa Shia (Wafuasi wa Ahlul-Bayt - a.s - ), "یوم الوقت المعلوم" ni Siku ya dhahiri…
-
Hadithi ya Shetani na Mwanadamu:
"Siri ya Muda wa Shetani Kuishi: Kwa Nini Mwenyezi Mungu Alimpa Shetani Muda Mrefu wa Kuishi?
Tangu wakati huo ambapo Shetani aliasi na kukataa kumsujudia Adam (a.s), mzozo wa kihistoria…
-
Vi[indi vya Tafsiri ya Qur’an Tukufu:
Tafsiri ya Aya ya Kwanza ya Surat Al-Maidah
Kwa kuwa "Hakika ya Waumini ni ndugu", basi Muislamu anatakiwa kuhakikisha kuwa anatimiza Haki…
-
Kuwatukana wakubwa wa kidini; Asili, motisha na haiba, shakhsia ya upuuzi ya wadhalilishaji
Kuwatukana viongozi wakubwa wa kidini, daima imekuwa moja ya masuala nyeti na changamoto katika…