28 Juni 2025 - 17:28
Ikiwa hatari itatishia Iran, Wairaq hawatanyamaza kimya

Iran haijaomba msaada kwa makundi ya Muqawama ya Iraq, lakini iwapo wananchi wa Iraq wanahisi kwamba hatari ya kweli inatishia Iran, mashujaa watanyanyuka kutoka katika kila nyumba nchini Iraq na kuiangamiza Marekani na utawala wa Kizayuni.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Yat-Allah Sayyed Yasin Al-Moussawi, kiongozi wa sala ya Ijumaa huko Baghdad: Maandamano makubwa ya watu wa Iran yalifanyika chini ya moto wa adui, na hii ni ishara ya nguvu ya kweli ya Taifa la Iran. Hii ni wakati Wazayuni walipokuwa wakikimbilia kwenye makazi ya kujificha chini ya Ardhi kwa kuhofia makombora ya Iran.

Iran haijaomba msaada kwa makundi ya Muqawama ya Iraq, lakini iwapo wananchi wa Iraq wanahisi kwamba hatari ya kweli inatishia Iran, mashujaa watanyanyuka kutoka katika kila nyumba nchini Iraq na kuiangamiza Marekani na utawala wa Kizayuni.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha