Msaada
-
Sayyid Abdul Malik al-Houthi, amesema: "Fungueni njia kuelekea Palestina. Yemen iko tayari Kijeshi kwenda kuisaidia Palestina"
"Huu ni wakati wa Jihad, na taifa letu la Yemen liko tayari kwa mamia ya maelfu ya wapiganaji kuisaidia Palestina.
-
Araghchi: Shambulizi la Israel kwa Wanaotafuta Msaada wa Chakula Gaza ni Uhalifu wa Vita wa Dhahiri
Watoto milioni 1 wako hatarini kufa kwa njaa Gaza huku Israel ikiendeleza mzingiro: UNRWA
-
Ikiwa hatari itatishia Iran, Wairaq hawatanyamaza kimya
Iran haijaomba msaada kwa makundi ya Muqawama ya Iraq, lakini iwapo wananchi wa Iraq wanahisi kwamba hatari ya kweli inatishia Iran, mashujaa watanyanyuka kutoka katika kila nyumba nchini Iraq na kuiangamiza Marekani na utawala wa Kizayuni.
-
Idadi ya waliouawa Gaza imefikia watu 54,880 | Hali ni mbaya sana na watu wengi wanahitaji msaada wa kibinadamu
Hali ya Gaza inaendelea kuwa mbaya kutokana na mashambulizi ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni. Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa ndani ya saa 24 zilizopita watu 108 wamepoteza maisha na wengine 393 wamejeruhiwa. Jumla ya waliofariki tangu kuanza kwa mashambulizi haya imezidi kufikia watu 54,000. Hali hii inahitaji mshikamano wa kimataifa ili kusitisha ukatili huu na kuanzisha mazungumzo ya amani.
-
Hujjat-ul-Islam Aali: Msaada kwa wengine unarudishwa (unafidiwa) mara nyingi zaidi na Mwenyezi Mungu
Mwalimu wa chuo kikuu na shule ya kidini alieleza kuwa kusaidia na kutatua matatizo ya wengine ni chanzo cha kupata malipo mengi kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Alisisitiza kwamba sehemu ya kila mtu katika neema ya Mwenyezi Mungu inategemea uwezo wake wa kupokea, na ili kufaidika zaidi, ni lazima kuongeza uwezo huu.