Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen, Sayyid Abdul Malik al-Houthi, amesema:
"Fungueni njia kuelekea Palestina. Huu ni wakati wa Jihad, na taifa letu liko tayari kwa mamia ya maelfu ya wapiganaji."
Kauli hii imekuja katika muktadha wa kuendelea kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya wananchi wa Palestina, ambapo harakati mbalimbali za muqawama (mapambano ya ukombozi) zimekuwa zikiashiria utayari wao wa kuchukua hatua za kijihadi kulinda haki na heshima ya Wapalestina.
Your Comment