22 Juni 2025 - 15:21
Hapa ni Israel sio Ghaza! | Tizama Makombora ya Iran leo hii asubuhi yalivyoichakaza Israel na kuigeuza kichwa chini miguu juu + Video

Shirika la Habari la Kimatifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Leo hii asubuhi, Jamhuri ya kiislamu ya Iran ilifanya shambulizi kali la makombora katika maeneo mbalimbali ya Palestina yanayokaliwa kimabavu na Utawala Haram wa Israel. Picha zinaonyesha jinsi maeneo yaliyolengwa katika shabaha jinsi yalivyosambaratishwa kikamilifu. Jeshi la Iran limetoa taarifa kuwa limelenga maeneo ya kijeshi na kiistratejia ndani kabisa ya Israel na Makombora yote yamepiga shabaha zake kwa mafanikio makubwa.

Hapa ni Israel sio Ghaza! | Tizama Makombora ya Iran leo hii asubuhi yalivyoichakaza Israel na kuigeuza kichwa chini miguu juu + Picha na Video

Your Comment

You are replying to: .
captcha