Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - Baada ya Iran kuachia wimbi la 20 la mashambulizi ya makombora kuelekea utawala ghasibu wa Israel, maeneo yote yoliyolengwa kwenye shabaha yageuzwa kuwa majivu.

22 Juni 2025 - 16:05

Israel yashuhudia nguvu kubwa ya Iran kwenye uwanja wa vita | Picha zinaonyesha jinsi ilivyogeuzwa kuwa ardhi ya magofu + Picha

Kile walichokifanya dhidi ya Ghaza na dhidi ya wapalestina, ndicho wanachokishuhudia hivi sasa kupitia makombora hatari ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Mifumo ya ulinzi wa anga la anga imechanganyikiwa na kushindwa kuyatungua makombora ya Iran ambapo wanadai kwamba makombora haya ni ya kisasa zaidi na sio rahisi kukabiliana nayo kwa kutumia mifumo iliyopo ndani ya Israel.

Israel yashuhudia nguvu kubwa ya Iran kwenye uwanja wa vita | Picha zinaonyesha jinsi ilivyogeuzwa kuwa ardhi ya magofu + Picha

Makombora haya yaliyotumiwa leo hii na Iran aina ya Khaibar, Yana kasi zaidi, yanalenga shabaha bila kukosea, na yanamilipuko mikubwa kupindukia, na madhara yake ni makubwa mno. Hivi sasa israel ipo katika msimamo wa kudhoofika na kuonyesha kuhitajia zaidi msaada wa Marekani ili aweza kumuokoa kwenye shimo hili refu alilotumbukia ndani yake.

Israel yashuhudia nguvu kubwa ya Iran kwenye uwanja wa vita | Picha zinaonyesha jinsi ilivyogeuzwa kuwa ardhi ya magofu + Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha