22 Juni 2025 - 16:34
Video | Mwanamke Mlowezi wa Kiyahudi akionyesha hofu na wahka na kumfungia jirani yake mlango wa eneo la kujificha!

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA- Katika video hii anaonekana Mwanamke wa Kizayuni mlowezi katika ardhi za Palestina akipambana kumzuia jirani yake na kumfungia mlango wa eneo la kujificha na kujihafadhi wakati wa shambulizi la makombora ya Iran, lililowafanya wakimbie kwa hofu kubwa baada ya kusikia sauti za ving'ora vya tahadhari kwamba makombora ya Iran yanakuja, hivyo kila mtu akimbilie eneo la kujificha. Ni dalili ya wazi kuwa maeneo ya kujificha na kujihifadhi kwa wazayuni hayatoshi, hivyo kuna vita kubwa baina yao ya kugombani maeneo ya kujificha.

Your Comment

You are replying to: .
captcha