-
serviceKiongozi wa Ansarullah apongeza taifa la Iran kwa kuvuruga ya Israel na Marekani
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amewapongeza wananchi wa Iran kwa namna walivyokabiliana na njama zilizopangwa na Marekani pamoja na Israel.
-
special-issueTukio adhimu la kubaathiwa Mtume Muhammad SAW
Jumamosi tarehe 27 Rajab 1447 Hijria sawa na Januari 17 mwaka 2026 Miladia inasadifiana na siku ya Kubaathiwa Mtume Muhammad SAW. Hii ni siku muhimu na ya kipekee katika Uislamu.
-
special-issueWanazuoni wa ulimwengu wa Kiislamu watoa tamko dhidi ya Trump huku wakimuunga mkono Imam Khamenei
Wanazuoni na wasomi wa Ulimwengu wa Kiislamu, katika taarifa yao, wameonyesha kuunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Khamenei, kufuatia machafuko ya hivi karibuni…
-
special-issueKiongozi Muadhamu: Taifa la Iran limevunja mgongo wa fitina kwa umoja
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa nchini.
-
special-issueWanazuoni wa Kishia na Kisunni wapongezwa kwa kuunga mkono Uongozi wa Kiislamu Iran
Jukwaa la Umoja na Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu Duniani, (WFPIST) limepongeza msimamo wa kuunga mkono uliotolewa na wanazuoni na wasomi wa Kishia na Kisunni kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia machafuko…
-
special-issueMaonyesho ya “Shahidi wa Qur’ani” yafanyika Yemen
Maonyesho yenye kichwa “Shahidi wa Qur’ani” yameandaliwa katika mkoa wa al-Hudaydah, Yemen, yakitoa heshima kwa Sayyid Hussein Badreddin al-Houthi, ambaye nchini humo anajulikana kama shahidi wa Qur’ani.
-
special-issueMikutano ya Wanaompenda Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu
Tarehe 27 ya mwezi wa Rajab katika kalenda ya Hijria Qamaria (17 Januari 2026), ilikuwa siku tukufu ya Maba’ath, siku ambayo Muhammad (SAW) aliteuliwa na Mwenyezi Mungu kuwa Mtume Wake wa mwisho.
-
special-issueChina yakataa kutumia mfano wa shambulio la Marekani dhidi ya Venezuela kurejesha Taiwan
Serikali ya China imekataa kutumia mfano wa shambulio la Marekani dhidi ya Venezuela kwa ajili ya kurejesha kisiwa cha Taiwan kinachojitawala.
-
special-issueMakamu wa Mwenyekiti wa Baraza la Mpito: Saudi Arabia imefanya uhalifu wa kivita nchini Yemen
Hani bin Brik, makamu wa mwenyekiti wa Baraza la Mpito la Kusini mwa Yemen, ameishambulia Saudi Arabia na kutaja vitendo vya nchi hiyo kusini mwa Yemen kama usaliti, uvunjaji wa ahadi na uhalifu wa kivita.
-
special-issueBaraza la Mpito la Yemen lakanusha kutoroka kwa Al-Zubaidi
Baraza la Mpito la Kusini mwa Yemen (STC) limekanusha kutoroka kwa mwenyekiti wake, Aidarus al-Zubaidi, likidai kuwa anaendelea na majukumu yake mjini Aden.
-
special-issueJeshi la Kizayuni ladai kuwaua wanachama 2 wa Hezbollah kusini mwa Lebanon
Jeshi la utawala wa Kizayuni limedai kuwa limewaua wanachama wawili wa Hezbollah ya Lebanon katika shambulio lake la jana kwenye eneo la Khirbet Selm kusini mwa Lebanon.
-
special-issueSeneta wa Marekani: Kukamatwa kwa Maduro na Marekani ni kinyume cha sheria
Seneta wa Marekani amekosoa kitendo kisicho cha kisheria cha Rais wa nchi hiyo cha kumteka nyara Nicolas Maduro.