-
Duru za Palestina zakanusha madai ya US kwamba HAMAS imekubali kupokonywa silaha
Duru moja ya Palestina yenye taarifa za mazungumzo yaliyofanyika kati ya HAMAS na serikali…
-
Yemen yaanza tena kushambulia meli za Israel baada ya kukataa kufungua vivuko vya Ghaza
Yemen imetangaza kuanza tena operesheni za kijeshi za kushambulia meli za Israel katika maeneo…
-
Hamas yasema hatua ya Israel kuzuia misaada kuingia Gaza ni ‘Uhalifu wa Kivita’
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imesema kuwa uamuzi wa utawala haramu…
-
Mkutano wa Jeddah; licha ya kukamilisha lakini ni zaidi ya mkutano wa Cairo
Kufanyika mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiislamu huko Jeddah mara…
-
Yemen yatishia kuifungia tena Israel Bahari Nyekundu
Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen limeonya kuwa litarejea kwenye operesheni zake za kijeshi za…
-
Indhari ya UN ya kutokea maafa ya kibinadamu Ukingo wa Magharibi kutokana na hujuma za Jeshi la Israel
Kufuatia kuendelea hujuma za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya maeneo mbalimbali…
-
Mufti wa Oman asisitiza kuunga mkono Wapalestina wanaodhulumiwa Gaza
Mufti Mkuu wa Oman amewataka Waislamu wote na watu wanaopenda uhuru duniani kusaidia watu wanaodhulu…
-
Korea Kaskazini: Tutatoa jibu kali kwa maneva ya kijeshi ya Korea Kusini na Marekani
Korea Kaskazini imeionya Seoul na kutishia kuchukua hatua kali iwapo mazoezi ya pamoja ya kijeshi…
-
China yaituhumu Marekani kuwa na sera za nyuso mbili
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeutuhumu utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump kwa kufuata…
-
Nini kinaendelea Syria? Taasisi za kimataifa kimya!
Ukimya wa taasisi za kimataifa kuhusiana na mauaji ya umati dhidi ya raia nchini Syria yanayofanywa…
-
OIC yalaani njama za kuhamishwa kwa nguvu Wapalestina Ghaza
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa taarifa rasmi mwishoni mwa kikao chake cha…
-
Sasa Trump ameelewa, HAMAS haimuogopi
Mchambuzi mmoja mashuhuri wa ulimwengu wa Kiarabu amesema: "Kulazimika Donald Trump kuomba…
-
Kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Wanawake: Zaidi ya wanawake 12,000 wa Kipalestina wameuawa katika vita vya Gaza
Idara ya Habari ya Serikali ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa: Wanawake 12,316…
-
Netanyahu awazidishia vizuizi Wapalestina vya kusali Ijumaa Msikiti wa Al-Aqsa mwezi wa Ramadhani
Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ameidhinisha vizuizi vikali…
-
Jeshi la Israel launda kifaa cha AI cha kuwajasisi Wapalestina
Uchunguzi mpya umefichua kuwa, kitengo cha ujasusi wa kielektroniki cha jeshi la Israel cha…
-
70 wauawa katika mapigano baina ya pande kinzani Syria
Zaidi ya watu 70 wameripotiwa kuuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa nchini Syria kutokana…
-
Askari wa Israel wavamia misikiti mjini Nablus na kuzuia Swala ya Ijumaa
Vikosi vya jeshi la Israel vimevamia misikiti kadhaa katika mji mkongwe wa Nablus, eneo la…
-
India: BRICS haina msimamo wa pamoja kuhusu suala la kuachana na sarafu ya dola ya Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa India Subrahmanyam Jaishankar amesema, dhana ya kwamba kundi la mataifa…
-
Yemen: US kuiweka Ansarullah katika orodha ya ugaidi haina uhalali wowote
Afisa mmoja mwandamizi wa Yemen amepuuzilia mbali hatua ya Marekani ya kuitambua Harakati ya…
-
HAMAS yasema imejiandaa 'kwa chochote kitachotokea' baada ya 'onyo la mwisho' alilotoa Trump
Brigedi za Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina…