22 Juni 2025 - 16:58
Pezeshkian: Shambulio kwenye taasisi za nyuklia ni kielelezo tosha kuwa Marekani ni msababishaji mkuu wa hatua za uhasama za Kizayuni dhidi ya Iran

Jibu kali la Iran lilikuwa ujumbe wa wazi kwa wahalifu wa Kizayuni. Marekani, baada ya majibu makali na ya kuadabisha kutoka kwa vikosi vya ulinzi vya nchi yetu, na kuona udhaifu na ulegeaji wa wazi wa utawala wa Kizayuni, hawakuweza kuvumilia ispokuwa kutojitokeza na kuamua kujitumbukiza rasmi kwenye dimbwi la uhasama."

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Rais wa Iran, akirejelea shambulio la usiku wa jana la Marekani dhidi ya baadhi ya taasisi za nyuklia za nchi, amelaani vikali tukio hilo na kusema: "Tukio hili linaonyesha kuwa Marekani ni msababishaji mkuu wa hatua za uhasama za utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiisilamu ya Iran. 

Pezeshkian: Shambulio kwenye taasisi za nyuklia ni kielelezo tosha kuwa Marekani ni msababishaji mkuu wa hatua za uhasama za Kizayuni dhidi ya Iran

Pezeshkian: Shambulio kwenye taasisi za nyuklia ni kielelezo tosha kuwa Marekani ni msababishaji mkuu wa hatua za uhasama za Kizayuni dhidi ya Iran

Ingawa awali walijaribu kujificha na kukwepa kujihusisha na jukumu lao, lakini baada ya majibu makali na ya kuadabisha kutoka kwa vikosi vya ulinzi vya nchi yetu, na kuona udhaifu na ulegeaji wa wazi wa utawala wa Kizayuni, hawakuweza kuvumilia ispokuwa kutojitokeza na kuamua kujitumbukiza rasmi kwenye dimbwi la uhasama."

Picha baadhi zikionyesha jinsi Makombora ya Iran yalivyoziangamiza Taasisi Muhimu za Kizayuni.

Pezeshkian: Shambulio kwenye taasisi za nyuklia ni kielelezo tosha kuwa Marekani ni msababishaji mkuu wa hatua za uhasama za Kizayuni dhidi ya Iran

Pezeshkian: Shambulio kwenye taasisi za nyuklia ni kielelezo tosha kuwa Marekani ni msababishaji mkuu wa hatua za uhasama za Kizayuni dhidi ya Iran

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha