19 Juni 2025 - 03:31
News ID: 1699604
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Jana Usiku, Moja ya Jahazi la Raia wa India wakiwa Baharini walifanikiwa kurekodi video ya Makombora ya Iran yalipokuwa yakitua kwa usahihi katika Shabaha zake ndani ya Ardhi za Palestina zinazokaliwa kimabavu na Utawala haram wa Israel. Makombora hayo yanaonekana katika video hiyo yakitwanga Sahaba zilizolengwa kwa umakini wa Hali ya Juu bila kukosea. Tizama video hiyo tuliyokuwekea katika Habari hii.
Your Comment