20 Juni 2025 - 19:26
Uungaji mkono wa vijana wa Fatimiyya kwa majeshi ya ulinzi ya Taifa la Iran, katika haramu tukufu ya Mwanamke wa Heshima, Hazrat Fatima Maasumah (sa)

Uungaji mkono Mkubwa kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unazidi kuonekana kila Kona ya Dunia katika Operesheni yake ya Ahadi ya Kweli 3.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Wananchi wa Iran ndani na Nje ya Iran, na watu wote huru na wapenda haki popote walipo katika Mataifa yao, wameandaa kujiunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya Utawala wa kutenda jinai wa Kizayuni, unaoendelea kuzikalia kwa mabavu Ardhi za Palestina. 

Sambamba na hilo, leo hii ndani ya Iran, Uungaji mkono Mkubwa wa vijana hususan Vijana wa kike wa Kundi la Fatimiyya, umeonyeshwa kwa majeshi ya ulinzi ya nchi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Ira, katika haramu takufu ya Mwanamke wa heshima na Karama, Sayyidat Fatima Maasumah (sa).

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha