Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Tizama picha mbalimbali Jinsi Utawala Haram na Ghasibu wa Kizayuni ulivyochakazwa kwa Makombora hatari ya Iran. Hawakuwahi kufikiria hali na sasa Wanaishi kwa wahka Mkubwa Sana. Ni Nguvu ya Makombora ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Hii ni vita baina ya Imani na Ukafiri.

18 Juni 2025 - 16:36

Tizama maeneo mbalimbali ya Israel (ambayo inayakalia kabavu) jinsi Iran ilivyo yageuza kuwa majivu kwa Mashambulizi ya Makombora ya Balistiki + Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha