Video hii inaonyesha wa ufyatuaji wa Makombora hayo katika shambulizi la awamu ya 17 ya Operesheni ya "Ahadi ya Kweli 3".
20 Juni 2025 - 20:43
News ID: 1699929
Shirika la Habari Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA- Leo hii Ijumaa (20-06-2025), Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran, limeendelea kulipiza Kisasi chake cha Ahadi ya Kweli 3 kwa kukushambulia Utawala wa Kizayuni kwa Makombora mbalimbali yenye uwezo wa Hali ya Juu na yaliyofanikiwa kuzitwanga kikamilifu Shabaha zote zilizolengwa katika Ardhi za Palestina zinazokaliwa kimabavu na Utawala Haram wa Israel.
Your Comment