21 Juni 2025 - 13:59
Ripoti mpya kuhusu kuangamizwa kabisa kwa jengo la Taasisi ya Weizaman la Israel kupitia makombora ya Kiiran + Video

Taasisi hiyo ni mojawapo ya vituo vya juu kabisa vya utafiti vya utengenezaji wa silaha za kikundi cha kigaidi kinachojulikana kama Hagana.

Kulingana na Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (as) -Abna- Gazeti la RT la Urusi limetoa ripoti mpya kuhusu kuangamizwa kabisa kwa jengo la Taasisi ya Weizaman la Israel na makombora ya Kiiran. 

Ripoti mpya kuhusu kuangamizwa kabisa kwa jengo la Taasisi ya Weizaman la Israel kupitia makombora ya Kiiran + Video

Taasisi hii ya utafiti wa Silaha za Serikali ya Utawala wa Kizayuni - Israeli, iliyopo katika mji wa Rohooth, ilianzishwa na kuasisiwa mwaka 1934. 

Ripoti mpya kuhusu kuangamizwa kabisa kwa jengo la Taasisi ya Weizaman la Israel kupitia makombora ya Kiiran + Video

Taasisi hiyo ni mojawapo ya vituo vya juu kabisa vya utafiti vya utengenezaji wa silaha za kikundi cha kigaidi kinachojulikana kama Hagana.

Your Comment

You are replying to: .
captcha