Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Msemaji na Naibu Mkuu wa Mahusiano ya Umma wa IRGC: Matokeo ya Mashambulizi ya Makombora ya Iran kwenye maeneo ya Palestina yanayokaliwa kimabavu na Utawala haram wa Israel, katika Mashambulizi ya wimbi la 18, yalilenga kwa mafanikio maeneo 14 ya kijeshi ya kimkakati huko Haifa na Tel Aviv.

22 Juni 2025 - 01:32

Jenerali Naeini: Makombora ya IRGC yaligonga pointi 14 za kijeshi za Kizayuni jana usiku + Picha

"Mnara wa Sail / (Sail Tower)" ulio katikati mwa Haifa, ambao ni mwenyeji wa Ofisi ya Kampuni ya Kijasusi bandia ya AI_12 Labs na kampuni zingine za programu za tasnia ya kijeshi za Wizara ya Vita ya utawala huo, ulilengwa katika operesheni hii kwa Kombora la masafa marefu la Qadr F.

Jenerali Naeini: Makombora ya IRGC yaligonga pointi 14 za kijeshi za Kizayuni jana usiku + Picha

Jenerali Naeini: Makombora ya IRGC yaligonga pointi 14 za kijeshi za Kizayuni jana usiku + Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha