Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Majalisi za Maombolezo ya Shahada ya Aba Abdillah Al-Hussein (as) na Mashahidi wa Karbala zinaendelea kila siku Jijini Arusha katika vituo mbalimbali vya Taasisi ya Khatamul-Anbiyaa, na waumini wengi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Arusha wanahudhuria katika Husseiniyyah na Misikitini kwa ajili ya kusikiliza masomo maridhawa yaliyopo katika harakati ya Mapinduzi Adhimu ya Kiislamu ya Imam Hussein (as).

30 Juni 2025 - 17:03

Mbauda - Arusha, Tanzania | Waumini wa Kiislamu wakiwa katika Majlis ya Maombolezi ya Shahada ya Imam Hussein (as) + Picha

Katika picha ni: Samahat Sheikh Abdallah Khamis Salum akiwahutubia Waumini wa maeneo ya Mbauda, Jijini Arusha, waliokusanyika kwa ajili kusikiliza na kujifunza kuhusiana na Historia halisi ya tukio la Karbala lililojaa mafunzo mbalimbali ya Kiakhlaq na Tabia njema, kwa umma mzima wa Kiislamu. 

Mbauda - Arusha, Tanzania | Waumini wa Kiislamu wakiwa katika Majlis ya Maombolezi ya Shahada ya Imam Hussein (as) + Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha