Kulingana na Shirika la Habari la Ahlul Bayt(a.s) - ABNA - Video |Msafara wa kwanza wa Mazuwwari wa Iraq baada ya kuanguka kwa Serikali ya Assad umeingia kwenye Madhabahu (Haram) ya Hazrat Zainab (s.a) siku ya Jumapili.
14 Januari 2025 - 04:42
News ID: 1522742-