-
Kiongozi Muadhamu atoa mkono wa pole kufuatia mripuko 'mchungu' kusini mwa Iran
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa salamu za…
-
Rais Pezeshkian: Mafungamano ya kihistoria ya Iran na Azerbaijan ni ufunguo wa maendeleo ya ushirikiano
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, mafungamano ya kihistoria kati ya ya Iran na Azerbaijan…
-
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kufuatia tukio la moto katika Bandari ya Shahid Rajaei, Bandar Abbas
Ayatollah Khamenei amewaombea Marehemu rehma na msamaha kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na amewatakia…
-
Mwanakaligrafia wa Bahrain asema kuandika Qur'an kwa mkono kumeongeza hamasa kwa Kaligrafia ya Kiarabu
Mwanakaligrafia kutoka Bahrain amesema kuwa wazo lake la kuandika Qur'ani kwa mkono limeongeza…
-
Katika kongamano la Kimataifa la "Sayansi, Dini, na Akili Bandia" lililofanyika Zagreb, Shahriyari:
Akili bandia si dhana bali ni mshirika kwa Binadamu katika kila dakika ya maisha yake
Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Kuleta Ukaribu wa Madhehebu ya Kiislamu alisema: Mjadala…
-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Umoja wa Madhehebu ya Kiislamu:
Udhalilishaji wa hivi karibuni wa mambo matukufu ya Waislamu wa Kisunni una nyanja tata zaidi
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kudumisha Umoja wa Madhehebu ya Kiislamu akilaani udhalilisha…
-
Hadhi Maarufu ya Maktab ya Imam Sadiq (AS)
Watu wote, wale wanaokubaliana naye na wale wasioafikiana naye, wamekiri kwamba Imam Ja’afar…
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mazungumzo na Marekani yanaendelea kwa tahadhari
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran, Hujjatul-Islam Sayyid Mohammad Hassan Abu-Torabi…
-
Hawzat Hazrat Zainab (sa) Kigamboni - Dar-es-salaam | Wanawake katika Kuadhimisha Shahadat ya Imam Sadiq (a.s) + Picha
Wanawake katika jamii za Kiislamu wanachukua jukumu muhimu katika kuadhimisha kifo cha Kishahidi…
-
Dr. Ali Taqavi, Mwakilishi wa Jamiat Al-Mustafa (s)Tanzania, akiambatana na Sheikh Dr. Alhad Mussa Salum watembelea uwanja wa Michezo Zanzibar + Picha
Uislamu umesisitiza Umoja wa Kiislamu, na madhehebu yote ya Kiislamu yanaunganishwa na Umoja…
-
Dr. Ali Taqavi, Mwakilishi wa Jamiat Al-Mustafa (s), Dar-e-Salam, Tanzania, katika ziara muhimu Zanzibar - Tanzania + Picha
"Ni muhimu kwa Wanafunzi kuzingatia elimu na maarifa ya Qur'an Tukufu, na kuwaasa katika kuzidisha…
-
Tarehe 25 Shawwal Mwaka 148 Hijiria, ulimwengu wa Kiislamu ulipatwa na Huzuni kufuatia kuondokewa na mmoja wa Ahlul-Bayti wa Mtume wa Uislamu (saww)
Licha ya kwamba Ahlul-Bayti wa Mtume (s.a.w.w) walikabiliwa na changamoto tofauti kisiasa na…
-
Kumbukumbu ya Shahada ya Imam Ja’far al-Sadiq (a.s) | Jua la Elimu na Uchaji Mungu Limezimwa
Shahada ya Imam Ja’far al-Sadiq (a.s) haikuwa tu kumpoteza kiongozi wa kiroho, bali ilikuwa…
-
Mkutano wa Mufti wa Burundi na Mwakilishi wa Al-Mustafa (s) Nchini Tanzania + Picha
Mufti wa Burundi akutana na kuzungumza na Hojjatul Islam wal-Muslimin, Dr.Ali Taqavi Katika…
-
Putin aidhinisha Makubaliano ya kina ya kimkakati na Iran
Mkataba huo unalenga kuimarisha mahusiano baina ya nchi hizo mbili katika maeneo yote yenye…
-
Iran yafungua Maonyesho ya Kaligrafia ya Qur'ani Jeddah
Maonyesho ya Kaligrafia ya Qur'ani na Mashairi ya Kiarabu, yaliyoandaliwa na Ubalozi Mdogo…
-
Palestina lazima ibaki / Watawala wetu wamepotoka kutoka kwenye Misingi ya Umma wa Kiislamu
Mwenyekiti wa Majlisi ya Umoja wa Waislamu wa Pakistan akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuiunga…
-
Maandamano ya makubwa ya kuisapoti “Gaza” Yafanyika Islamabad: Hafidh Naeem atoa wito wa mgomo wa kitaifa na kususia bidhaa za Israel + Video
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Islamabad: Kiongozi wa Jamaat-e-Islami…
-
Maandamano ya “Gaza” Islamabad: Hafidh Naeem atoa wito wa mgomo wa kitaifa na kususia bidhaa za Israel
“Tunaiheshimu nchi yetu, lakini tunataka kuwastua watawala ili wasimame na watu wa Palestina…
-
Morocco; Imeshuhudia Mikusanyiko 105 ya Kuunga Mkono Palestina
Al Jazeera Qatar imeripoti kuwa, (mikusanyiko) maandamano 105 yalifanyika katika miji 58 ya…