Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: mafurko ya waumini wa madhehebu ya kishia kumzuru Imam Husein na nduguye Abalfazli Alabas waliouwawa ardhini Karbala siku ya Ashura, waumini hao wamefurika sehemu hiyo kuonyesha majonzi yao kwa thulma kubwa waliofanyiwa wajukuu hao wa Mtume Muhammad (s.a.w.w) katika viwanja vya Karbala nchini Iraq.
25 Oktoba 2015 - 13:40
Msimbo wa Habari: 716835