mamia ya magaidi wa Daesh walioangamia katika mapambano ya Samarra

10 Novemba 2015 - 22:05

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: wapiganaji wa mapambano ya kiislamu kikundi cha “Saraya Assalam) ambacho ni katika jeshi la wananchi waliojitolea katika kupambana na magaidi wa Daesh nchini Iraq, katika mashambulio yake waliofanya magharibi mwa mji wa Samarra wamefanikiwa kuwaangamia makumi ya magaidi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh nchini humo.

mwisho wa Habari/290