Wakati wa ziara hiyo, walipata fursa ya kujionea kwa karibu shughuli za kielimu na utafiti zinazofanywa na taasisi hiyo, hususan katika uwanja wa nasaba za Maimamu na Masayyid.

19 Agosti 2025 - 21:18

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kundi la wanafunzi wa Jāmi‘at al-Mustafā (s.a.w.w) limefanya ziara katika Taasisi ya Utafiti ya Dhūriyyah Nabawiyyah ambapo walikutana na Ayatullah Hakim, Rais wa Taasisi hiyo, na kufanya mazungumzo na manaibu wake, sambamba na kutembelea idara mbalimbali za taasisi hiyo.

Wakati wa ziara hiyo, walipata fursa ya kujionea kwa karibu shughuli za kielimu na utafiti zinazofanywa na taasisi hiyo, hususan katika uwanja wa nasaba za Maimamu na Masayyid.

Your Comment

You are replying to: .
captcha