Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Wajumbe wa kamati ya maandalizi ya kongamano la kumbukumbu kwa heshima ya Ayatollah Sayyid Mohammad Hadi Milani wamekutana na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatollah Sayyid Ali Khamenei, ambapo walijadili umuhimu wa kongamano hilo katika kuhifadhi na kuendeleza urithi wa kielimu, kidini na kijamii wa mwanazuoni huyo mashuhuri.

25 Desemba 2025 - 12:51

Wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Kongamano la Kumuenzi Ayatollah Sayyid Mohammad Hadi Milani Wakutana na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu +Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha