Picha hizi ni kielelezo cha wazi na dhahiri cha matunda ya juhudi zinazofanywa katika kueneza elimu na maarifa kupitia Madrasat Zainab (SA), inayosimamiwa na Rais wake, Dkt. Ali Taqavi. Tunamuomba Mwenyezi Mungu amlinde, ampe nguvu, afya njema na tawfiq ya kudumu katika kuitumikia Uislamu na Waislamu.
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Elimu ni msingi na nguzo ya manufaa, heri na wema; humuinua mwanadamu katika daraja za dunia na Akhera, na humwongoza kumuabudu Mwenyezi Mungu kwa uelewa, ufahamu na maarifa sahihi.

Your Comment