Kwa mujibu wa Shirika la Kimataifa la Habari la Ahlul-Bayt (as) -ABNA-: Sherehe za Sikukuu za Sha‘baniyya na kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam Hussein (a.s), Hadhrat Abal-Fadhil Al-Abbas (a.s), na Imam Zaynul-A'bidin (a.s) zilifanyika kwa ushiriki wa Mashia na wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s) katika Msikiti wa Mji wa Yangon nchini Myanmar. Yangon inahesabiwa kuwa Mji mkubwa zaidi nchini Myanmar.
24 Januari 2026 - 21:16
News ID: 1774472
Your Comment