Shirika Ia Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Waislamu na watu wema duniani kote, leo hii - Ijumaa ya Mwisho wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan - wanahuisha Siku ya Kimataifa ya Quds kwa ajili ya kutetea Taifa la Palestina na Haki ya Wapalestina.
13 Machi 2026 - 12:51
News ID: 1791364
Your Comment