source : Abna
Jumatatu
22 Julai 2024
11:28:17
1473717
Ripoti Katika picha| Mkutano wa A'shura baina ya Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na Sheikh Ibrahim Zakzaky
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA- Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria walikutana na Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, huko Abuja, Mji Mkuu wa nchi hii, Siku ya A'shura Hussein.