Main Title

source : Abna
Jumatatu

2 Septemba 2024

05:31:59
1482278

Ripoti ya Video | Marasimu za Maombolezo ya Kifo cha Mtukufu Mtume (s.a.w.w) katika Kata ya "Ikwiriri" nchini Tanzania

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Marasimu za Maombolezo ya kuaga dunia kwa Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w) na kuuawa Shahidi Imam Hassan al-Mujtaba (a.s) na kuuawa Shahidi kwa Imam Reza (a.s) yalifanyika kwa kuandaliwa na "Taasisi ya Hujjat al-Asr (a.t.f.s) ya Tanzania" katika Kata ya "Ikwiriri" ; Wilaya ya Rufiji, nchini Tanzania.