Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Hafla ya Maombolezo ya Kifo cha Mtukufu Mtume (s.a.w.w) na kuuawa Shahidi Imam Hassan al_Mujtaba (a.s) yalifanyika mbele ya Wafuasi na Wapenzi wa Ahlul_Bayt wa Isma na Utoharifu (Amani iwe juu yao) katika makazi ya Marajii Taqlid katika Mji wa Qom.

4 Septemba 2024 - 04:52