Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - sherehe ya ndoa ya vijana 100 wa Iraq kwa mnasaba wa kuzaliwa Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w) ilifanyika katika Uwanja wa Hazrat Zahra (s.a) katika Haram Tukufu ya Hazrat Amirul Muuminina (a.s) katika Mji wa Najaf.
21 Septemba 2024 - 15:39
News ID: 1487002