Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Sherehe za kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume (s.a.w.w) na kuzaliwa kwa Imam Jafar Sadiq (a.s) zimefanyika kwa uwepo wa mahudhurio makubwa ya wafuasi wa shule (madrasat) ya Shia Ithna Ashari huko katika kijiji cha "Karzkan" Bahrain; katika Husseiniyya ya "Karzkan".
21 Septemba 2024 - 15:42
News ID: 1487004